Windows

Ratiba ligi daraja la Kwanza leo

Ligi daraja la kwanza itaendelea leo kwa mechi moja kuchezwa huko katika jiji la Miamba Mwanza wenyewe wakipaita Rock City.
Mechi hiyo itazikutanisha Wenyeji Pamba Fc watakaokuwa nyumbani kuikaribisha Dodoma Fc ya JIJINI Dodoma.

Post a Comment

0 Comments