

MCHUNGAJI Alph Lukau kutoka nchini Afrika Kusini amezua gumzo baada ya kudai kumfufua mtu wakati wa ibada jana Februari 24, mwaka huu.
Imeelezwa kuwa mtu huyo aliyedaiwa kufariki tangu Ijumaa alikuwa akipumua ndani ya jeneza.
Wananchi wametaka serikali iwazuie wachungaji hao wanaowahadaa wananchi kwa miujiza.




0 Comments