

Dakika ya 9 Niyonzima anapiga pasi inayoishia kwa mlinda mlango wa Lyon.
Dakika ya 08 Simba wanaotea tena
Dakika ya 7 Lyon walifanya shambulizi kwa Manula.
Dakika ya 6 Niyonzima alifunga bao ikiwa ni offside ya kwanza kwa Simba.
Dakika ya 5 Dilunga anachezewa rafu na mchezaji wa Lyon
Dakika ya 4 Lyon wanakosa nafasi ya wazi kwa Manula.
Dakika ya 3 Lyon wanaanza kumfuata Manula
Dakika ya 2 Kwasi anachezewa rafu na mchezaji wa Lyon.
Dakika ya 2 Gyan anapeeka mashambulizi Lyon.
Dakika ya 1 Mzamiru Yassin anamtafuta Bocco unakwenda nje ya lango.
Mwamuzi wa kati ni Erick Enocka.
MASHABIKI wamejitokeza kwa wingi leo Uwanja wa Amri Abeid kushuhudia mtanange kati ya African Lyon na Simba ambao ni wa Ligi Kuu Bara.




0 Comments