Windows

HAJI MANARA ATAJA SABABU ZA KUTOKUWEPO KWENYE KIKAO CHA WANAHABARI JANA


Na Haji S Manara

Kwa nini Haji hakuwepo leo (jana) wakati Mwenyekiti wetu wa Bodi ya Simba alipokuwa akizungumza?

Nilikuwepo na Waandishi waliniona ila Boss wangu alinipa jukumu la kikazi wakati press ikiendelea

Na kwanini leo (jana) sijafanya Promo ya game yetu dhidi ya Ahly?

Guys Mwenyekiti akishaongea huwezi kuweka lako ktk siku hyo hyo,ni kukosa weledi ambao haupaswi kufanywa na mtu wa caliber yangu!!!
Na kwa nn aongee @moodewji wakati ww upo?

Kwa katiba yetu Mwenyekiti anayo mamlaka hayo,ukizingatia Timu imetoka kupoteza game mbili mfululizo za CL,ilikuwa ni lazma kwa kiongozi wetu Mkuu kuongea na Wanasimba juu ya mwelekeo wa klabu yetu!!
Ila na msemaji wenu ningojeeni kuanzia kesho muone kazi.

Tutaifanya Promo kuliko neno lenyewe la Promo na Insha'Allah Watu watajaa Taifa Jumanne!

La muhimu tuendelee kuwa wamoja na Mungu atatusaidia Insha'Allah 🙏!
Yes We Can

Post a Comment

0 Comments