Windows

Habari njema kutoka Simba Hii hapa

Siku moja baada ya Simba kumteua meneja wa Muda Kushirikiria nfasi ya Richard Robert ambaye alifungiwa kujihusisha na masuala ya kimpira kwa mwaka mmoja , Habari njema ikufikie kuwa kamati ya Ya maadili ya TFF imetengua adhabu ya meneja wa Simba Richard Robert.
HABARI NJEMA: Kamati ya Rufaa ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetengua adhabu ya Meneja wetu Richard Robart iliyotolewa na Kamati ya Rufaa ya TFF. Richard alifungiwa mwaka mmoja kujihusisha na mpira na faini ya Tsh. 4 Milioni.

Post a Comment

0 Comments