Katibu Mwenezi Ngome ya vijana wa chama cha ACT Wazalendo amefunguka kuhusiana na sakata la Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kudaiwa kutishiwa kuuawa ambapo mpaka sasa kama chama wamekuwa wakichukua tahadhari mara tu inapotolewa taarifa ili kuhakikisha mbunge huyo anakuwa salama
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
0 Comments