Windows

VIDEO: TIC wamvaa Tundulissu | Maneno yanaumba | Kama humpendi Rais


Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha uwekezaji Tanzania Bw. Geoffrey Mwambe amekemea kitendo cha Mbunge wa singida mashariki Tundu Antipas Lissu Kuzunguka kwenye vyombo vya habari vya nje na kuiongelea nchi kwa mabaya ambapo amedai kuwa kitendo hiko kinaichafua nchi.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE.....................



Post a Comment

0 Comments