Mkurugenzi wa mji wa Babati, Fortunatus Fwema amewaambia wamiliki na wadau wa vyombo vya moto kuwa hawezi kurudisha stendi ya zamani ikafanya kazi kwa kuwa sio mali ya serikali.
Mkurugenzi huyo amekumbusha mchakato wa kubadilishana stendi na uwanja wa mpira wa Kwaraa kati ya Halmashauri ya mji wa Babati na Chama cha Mapinduzi (CCM).
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
0 Comments