Windows

VIDEO: DC afunguka kuhusu mpaka wa Namanga uliopo kati ya Tanzania na Kenya

Mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Arusha, Frank Mwaisumbe amefunguka kuhusu malalamiko ya Madreva wanaopata adha ya kusafiri umbali wa kilomita 25 kwenda mpaka wa Kenya na Tanzania Namanga huku wakiacha magari yao Longido mjini amesema kuwa suala hilo liko Kisheria.

Akizungumza na Muungwana Tv, Mwaisumbe amesema kufanya hivyo ni kufuata sheria ya mipaka kwa kuwa magari hayaruhusiwi kupaki mpakani kwa kuwa lolote laweza kutokea.

Amesema kuwa Sheria 2006 inayohusu mipaka ndiyo imefanya kuondoa malori hayo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE



Post a Comment

0 Comments