Windows

Picha: Waziri wa Afya akabidhi X-Ray ya kidigitali wilayani Chato


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu kupitia wizara hiyo wamefunga X-Ray ya kidigitali na hivyo kuimarisha huduma za uchunguzi kwa wagonjwa katika Hospitali ya Wilaya Chato.



Post a Comment

0 Comments