Windows

Matokeo Yote Ligi kuu Tanzania TPL leo 31 January 2019

Matokeo Yote Ligi kuu Tanzania TPL leo 31 January 2019
Matokeo ya mechi za Ligi kuu ya Tanzania Bara TPL kwa mechi za leo 31 January 2019.
Mtibwa Sugar vs Ndanda
Mechi kati ya Mtibwa Sugar ya Morogoro dhidi ya Ndanda Fc kutoka Mkoani Mtwara imemalizika kwa sare ya bila kufungana.
Singida United vs African Lyon
Dakika ya 70
Singida United 1 – 0 African Lyon (62′ Boniface Maganga)
FULL TIME
Singida United 1 – 0 African Lyon (62′ Boniface Maganga)

Post a Comment

0 Comments