Declan Rice atasalia West Ham licha ya Manchester United kuonesha azma ya kutaka kumsajili kiungo huyo wa wa kati wa Uingereza wa miaka 23. (Mirror)