Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 29.12.2021: Mbappe, Raphinha, Azpilicueta, Barkley, Digne, Umtiti

Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. Mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 na timu hiyo ya Ligue 1 unamalizika msimu wa joto(CNN)

Post a Comment

0 Comments