Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 25.12.2021:Haaland, Martial, Alli, Doherty, Phillips, Dembele, En-Nesyri

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola itaokoa pesa kutokana na mauzo ya mshambuliaji wa Uhispania Ferran Torres, 21, ambaye anatazamiwa kujiunga na Barcelona kwa mkataba wa thamani ya hadi £55m.

Post a Comment

0 Comments