Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 04.12.2021: Torres, Mbappe, Sanches, Vlahovic, Eriksen, Isco, Benitez

Manchester City wanamfuatilia mshambuliaji wa Fiorentina MSerbia Dusan Vlahovic. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amefungia mabao 19 klabu na taifa msimu huu. (La Repubblica)

Post a Comment

0 Comments