Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 10.11. 2021: Pogba, Ramsey, Coutinho, Rodgers, Kounde, Bowen, Dembele

Manchester United wanajiandaa kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 28, mwezi Januari dirisha la uhamisho litakapofunguliwa, kabla ya mkataba wake kumalizika mwisho wa msimu huu. (Star)

Post a Comment

0 Comments