Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 21.11.2021: Solskjaer, Sterling, Zidane, Dembele, Lingard, Lampard, Vlahovic, De Ligt

Manchester United wameimarisha juhudi za kumsaka kocha wa zamani wa Real Madrid head Zinedine Zidane. United inaonekana wameongeza ofa yao ya kifedha kwa Mfaransa huyo mwenye umri wa miaka 49 ili kumrithi Ole Gunnar Solskjaer huko Old Trafford. (Times - subscription required)

Post a Comment

0 Comments