Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 23.11.2021: Pochettino, Salah, Lacazette, Pedri, Sanches

Wachezaji wa klabu ya Paris St-Germain wanaamini kwamba Mauricio Pochettino ataondoka kuelekea Manchester United huku raia wa U faransa Zinedine Zidane akimrithi katika klabu ya PSG. (Marca, in Spanish)

Post a Comment

0 Comments