Windows

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 26.11.2021: Sterling, Vlahovic, Zidane, Pochettino, Rangnick, Milinkovic-Savic, Perisic,

Manchester City itapaswa kuongeza juhudi kumpa mkataba wa muda mrefu winga wa England Raheem Sterling, 26 ambaye anahusishwa na Barcelona, ili aweze kusalia klabuni hapo. (Telegraph - subscription required)

Post a Comment

0 Comments