Windows

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 19.11.2021: Haaland, Mbappe, De Vrij, Brozovic, Strakosha, Pogba, Olmo

Manchester United na Chelsea wamepata nguvu katika harakati zao za kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, ambaye kipengele chake cha kuachiliwa kinamwezesha kuondoka kwa pauni milioni 64 msimu ujao.

Post a Comment

0 Comments