Windows

Kwanini Manchester United haimfuti kazi Ole Gunnar Solskjaer?

Kipigo cha bao 2-0 kutoka kikosi cha Pep Guardiola, kilijiri chini ya wiki mbili baada ya kile cha bao 5-0 kutoka Liverpool, vimesababisha wengi wakiwemo mashabiki waliokuwa awali wakimuunga mkono Solskjaer, kuamua kuwa raia huyo wa Norway anastahili kufunganya virago.

Post a Comment

0 Comments