Windows

Juventus: Kwa nini Allegri anahaha kupata matokeo tangu kurejea Juventus?

Wakati Max Allegri anarejea Juventus katika majira ya joto, kila mtu pale Turin alitarajia ujio wake ungerejesha zama za ushindi za wakati ule alipokuwa anainoa klabu hiyo kwa mara ya kwanza.

Post a Comment

0 Comments