Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 20.09.2021: Pogba, Haaland, Olmo, Lingard, Bailly, Tchouameni

Barcelona wanajiandaa kuwasilisha ofa za kuwanunua mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 21, nyota wa Ufaransa na man united Paul Pogba, 28, na mchezaji wa Uhispania Dani Olmo, 23. (Mundo Deportivo - in Spanish)

Post a Comment

0 Comments