Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 12.09.2021: Haaland, Mbappe, Adeyemi, Hudson-Odoi, Bellingham, Ndombele

Mshambuliaji wa Norway na Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 21, hana nia ya kuharakisha uamuzi kuhusu hatma yake ya baadaye wakati kifungu cha kumwezesha kuondoka kitaanza kutekelezwa mwaka 2022. (90 Min)

Post a Comment

0 Comments