Windows

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 10.09.2021: Kounde, Kessie, En-Nesyri, Coman, Tchouameni, Dembele

Chelsea wamepanga kufufua ari yao kumsajili beki wa kati wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 22 Jules Kounde wakati wa dirisha la uhamisho la Januari ikiwa Sevilla itapunguza gharama yake kwa karibu euro 50m (ESPN)

Post a Comment

0 Comments