Windows

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 01.10.2021: Cavani, Rudiger, Phillips, Pellegrini, Nketiah, Diaby

Real Madrid huenda wakafufua azma yao wa kumsaka mshambuliaji wa Manchester United na Uruguay Edinson Cavani, 34, dirisha la uhamisho litakapofunguliwa tena mwezi Januari. (El Nacional -kwa Kihispania)

Post a Comment

0 Comments