Windows

Olimpiki Tokyo: Mwanariadha wa Kenya Eliud Kipchoge afanikiwa kuhifadhi taji la olimpiki la marathon

Eliud Kipchoge wa Kenya ameibuka na ushindi katika mbio za marathon za wanaume huko Tokyo na kuwa mwanariadha wa kwanza tangu 1980 kuhifadhi taji la mbio za Olimpiki.

Post a Comment

0 Comments