Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 21.07.2021: Pogba, Messi, Locatelli, Haaland, Gil, Trippier, Ronaldo

Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba ananyatiwa na Paris St-Germain msimu huu wa joto na klabu hiyo ya Ligue 1 inapanga kuuwauza wachezaji kadhaa kukusanya £50m wanazoamini zitafanikisha azma ya kumpata Pogba. (Mirror)

Post a Comment

0 Comments