Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumapili tarehe 25.07.2021 : Federico Chiesa, Joaquin Correa, Anthony Martial, Paul Pogba

Juventus wamekataa dau la pauni milioni 86 kutoka kwa Liverpool kwa ajili nya Federico Chiesa. Winga huyo mwenye umri wa miaka 23,alikuwa mchezaji nyota katika Italia katika Euro 2020.

Post a Comment

0 Comments