Wolves imekubali kumuuza beki wake wa kireno, Ruben Vinagre, 22, kwenda Sporting Lisbon kwa ada ya £8.6m.