Windows

Je,Kufutwa kwa sheria ya bao la ugenini kutapunguza utamu wa soka?

Baada ya miaka 56, Shirikisho la Kandanda Ulaya - UEFA limetangaza kufuta sheria ya bao la ugenini kuanzia msimu ujao. UEFA inasema sheria hiyo imepitwa na wakati na imeamua kuifuta kama njia muhimu ya kumpata mshindi kwa uwiano sawa katika mashindano yake ya vilabu.

Post a Comment

0 Comments