Chelsea imewasiliana na Bayern Munich kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski , lakini klabu hiyo ya ligi ya Premia inakabiliwa na changamoto kuu ya ushindani kutoka kwa Paris St Germain na Barcelona.. (Sky Sport Germany - in German)
0 Comments