Windows

Simba wanahitaji kuibuka na ushindi wa kuanzia mabao 5-0 au zaidi ili waweze kusonga mbele

Maajabu hayo ndio pekee yanayoweza kuiokoa Simba Jumamosi na kuiwezesha kukata tiketi ya kuingia hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo msimu huu baada ya kupoteza mchezo wa kwanza ugenini huko Afrika Kusini kwa mabao 4-0.

Post a Comment

0 Comments