Windows

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 29.04.2021

Manchester United bado wanataka kufanya usajili wa winga wa kulia mwishoni mwa msimu, huku mchezaji nyota wa timu ya taifa ya England na klabu ya Borussia Dortmund Jadon Sancho, 21, akiendelea kuwa kipaumbele chao nambari moja. (90 Min)

Post a Comment

0 Comments