Windows

Chelsea VS West Brom: Baggies wavunja rekodi ya Blues ya kutofungwa katika mechi 14

Matheus Pereira na Callum Robinson walifunga mara mbili West Brom ikizidi nguvu kikosi cha Chelsea chawachezaji 10-kukomesha ushindi wa mechi 14 bila kufungwa tangu Thomas Tuchel alipojiunga na klabu.

Post a Comment

0 Comments