Windows

Tetesi za Soka Ulaya 04.03.2021: Haaland, Lamptey, Aarons, Bellerin, Aguero, Arteta

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland,20, anaenyatiwa na Chelsea- amesema kuna klabu sita ambazo huenda akajiunga nazo, Liverpool, Manchester United na Manchester City ndizo klabu za Ligi ya Primia anazopigiwa upatu. (Bild, via Sun)

Post a Comment

0 Comments