Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 28.02.2021:Barnes, Haaland, Martinez, Varane, Odegaard

Leicester City iko kwenye mazungumzo ya mwisho ya mkataba mpya na kiungo wa kati wa Uingereza mwenye umri wa miaka 23, Harvey Barnes, ambaye amekuwa akifuatiliwa na Liverpool na Manchester United.

Post a Comment

0 Comments