Windows

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 11.02.2021:Messi, Haaland, Sancho, Alli, Raphinha, Saliba

Kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino amesisitiza klabu yake na wachezaji hawajaonesha ''utovu wa nidhamu'' kwa kuzungumzia nia yao ya kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi.

Post a Comment

0 Comments