Manchester United imemuongeza mlinzi wa Brighton Ben White kwenye orodha ya wachezaji wa beki wa kati wanaowataka.