Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 23.08.2020:Tagliafico, Traore, Sancho, Brooks, Magalhaes, Thiago, Havertz

Leicester City inamuangalia beki wa kushoto wa Ajax, Nicolas Tagliafico, 27, kama mbadala wa Ben Chilwell, 23 ambaye anatarajiwa kujiunga na Chelsea.

Post a Comment

0 Comments