Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 15.04.2020: Griezmann, Martinez, Kane, Coutinho, Niguez, Aguero, Haaland

Inter Milan inamtaka mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 29, kubadilishana na mshambuliaji Lautaro Martinez ikiwa Barcelona itammyakua kiungo huyo wa Argentina wa miaka 22 kutoka kwao. (La Gazzetta dello Sport, via Marca)

Post a Comment

0 Comments