Windows

tetesi za soka Ulaya Jumanne 07.04.2020: Sancho, Martinez, Traore, Lingard, Giroud

Barcelona wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, kutoka klabu ya Inter Milan lakini wanakabiliana na ushindani mkali kutoka kwa Real Madrid na Manchester City. (Marca)

Post a Comment

0 Comments