Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 02.03.2020: Sancho, Foster, Smalling, Koulibaly, Mertens

Winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19, hana mawazo kuhusiana na hatma yake ya baadae licha ya tetesi zinazomhusisha na uhamisho wa kuenda Manchester United ama Liverpool. (Mail)

Post a Comment

0 Comments