Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 08.03.2020: Aguero, Henderson, Ter Stegen, Skriniar, Abraham, Matic, Stones

Manchester City wameridhi kumruhusu mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, 31, kuondoka klabu hiyo msimu wa joto ikiwa watashindwa kubatilisha marufuku ya Uefa dhidi yao.

Post a Comment

0 Comments