Windows

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 03.03.2020: Pogba ,Sancho, Werner, Holgate, Lozano,Sturridge

Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, atarejea katika mazoezi ya kikosi cha kwanza Manchester United wiki hii na anapania kubuni ushirikiano uwanjani na Bruno Fernandes aliyejiunga na klabu hiyo Januari.

Post a Comment

0 Comments