Windows

Michezo ya Olimpiki yaahirishwa kwa hofu ya Coronavirus

Waandalizi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020, ambayo ilikuwa ing'oe nanga Julai 24, wamekubali kuahirisha michezo hiyo ya kimataifa kwa mwaka mmoja kutokana na na janga la coronavirus.

Post a Comment

0 Comments