Windows

Jadon Sancho na Erling Haland: Wachezaji wachanga wenye thamani kubwa duniani watangazwa

Wachezaji wawili wa klabu ya Borussia Dortmund wanaongoza orodha ya wachezaji watano wa soka waliozaliwa baada ya mwaka 2000 walio na thamani ya juu kulingana na shirika la wachunguzaji wa viwango vya soka CIES.

Post a Comment

0 Comments