Windows

Afungwa siku thelathini kwa kulamba 'Ice Cream'

Mwanamme mmoja kutoka Texas aliyejirekodi akilamba Ice cream na kisha kuirudisha kwenye jokovu katika duka la Walmart amefungwa kwa siku 30

Post a Comment

0 Comments