Windows

Tariq aongeza nguvu Yanga ikiiwinda Kagera Sugar



Kikosi cha Yanga leo kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano kwenye uwanja wa Taifa (kama hakutakuwa na mabadiliko)

Kuelekea mchezo huo, habari njema kwa Yanga ni kurejea kikosini kwa mshambuliaji wake Tariq Seif Kiakala ambaye alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya nyama za paja

Tariq aliukosa mchezo dhidi ya Simba pamoja na michuano ya kombe la Mapinduzi kutpkana na tatizo hilo

Daktari wa Yanga Sheck Mngazija amethibitisha kuwa nyota huyo yuko fiti na ataungana na timu kwenye mazoezi ya leo

Post a Comment

0 Comments