Baada ya mapumziko ya siku tano, kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini kuanza maandalizi ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Iringa United
Mchezo huo utapigwa kati ya Disemba 22-28 uwanja wa Uhuru
Mabingwa hao wa kihistoria siku ya Alhamisi Disemba 12 wataelekea mkoani Kigoma kwa ziara maalum ya michezo ya kujipima nguvu
Kwa habari zaidi Download App ya SOKA KIGANJANI kutoka Play Store.
0 Comments